Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Sunday 9 March 2014

JumaPili hii Tusifu Na Kuabudu;Burudani-Mr&Mrs Goodluck Sandy-Alipo BWANA,Viumbe Vyote,Hakuna mwingine Tena,MUNGU U Mwema,Hakuna wa Kufanana na YESU!!!!!

Hatuja chelewa saana,Wapendwa Waungwana..WANAWAKE JUU!!Wapendwa; Nawatakia JumaPili Njema, Yenye Kusifu na Kuabudu,Imani,Furaha,Amani,Tumaini,Subira,Uvumilivu,Hekima,Busara na UPENDO!!!!


Wanafunzi waliposikia,walishangaa mno,wakisema,Ninani basi awezaye kuokoka?Neno La Leo;Mathayo Mtakatifu:19:23-30


YESU akawakazia macho,akawaambia,kwa wanadamu hilo haliwezekani; bali kwa MUNGU yote yanawezekana.


Lakini wengi walio wa  kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.
"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe Sana.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hakuna kuchelewa hapa Kachiki...Ahsante nakutakieni nanyi pia Jumapili njema na iwe yenye utulivu na upendo.

Rachel Siwa said...

Ameeee!!Ameeen!!Ameeeeee!!!!! dada wa mimi kipenziii@KADALA.