Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday 12 February 2014

Wanawake Na Urembo-Nywele,Makeup!!!!Waungwana;Wanawake na Urembo, jee wewe kwako UREMBO ni nini?
Kila Mwanamke  anacho anachokipenda kukifanya,kuboresha UREMBO wake,Wapo wanaopenda kunyoa Nyusi,Kupaka Wanja,Rangi za mdomo,Kusuka,Kuweka Nywele Bandia,Kucha na Mengine meengi.Jee wewe Wapenda nini?

kwapicha zaidi ingia;http://www.mitindoafrica-abroad.blogspot.co.uk/


"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.

4 comments:

AMINA said...

Tutumie vipodozi au vitu vya asili zaidi ili kulinda mwonekano wetu wa asili. haya ni maoni yangu

Rachel Siwa said...

Da'Amina asante sana kwa Maoni Yako.

Yasinta Ngonyani said...

Duh! hapa naona mimi hakuna ninachokipendelea zaidi ya kusuka rast:-) na huyu mdada wa pili ndo chaguo langu...wengine tumetokea hatupendi sana urembo...LOL

Rachel Siwa said...

Jamani KADALA..Mimi nimesha kununulia vipodozi viingi ili nikija likizo uanze kuapaka..tehtehetehh