Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday, 17 April 2013

Ulale kwa Amani Fatuma Binti Baraka -Bi KIDUDE!!!!!

Fatuma Binti Baraka[Bi KIDUDE] Amefariki.

Pole kwa Familia,Ndugu,Jamaa,Wasanii,Wapenzi na Wa TANZANIA Wote...
Na Apumzike kwa Amani bi Kidude.

"Swahili NA Waswahili" pamoja Daima.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Pumzika kwa amani..tutakukumbuka daima.

Said Kamotta said...

Amin...alitia mchango wake mkubwa katika sanaa Afrika Mashariki na ulimwenguni kote. Mwenyezi Mungu amrehemu!

emuthree said...

Kwakwe tumetoka na kwake ndio marejeo, iliyobakia ni kumuombe kwa mola amuweke mahala pema peponi