Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday, 2 January 2013

Kitabu Kimojawapo cha Prof.Mbele-Africans and Americans: Embracing Cultural Differences
The book is available at http://www.lulu.com/shop/joseph-mbele/africans-and-americans-embracing-cultur... and other internet sites.
 

Here is a review on Amazon http://www.amazon.com/Africans-And-Americans-Embracing-Differences/dp/1411623...


"Mbele takes on the arduous task of comparing American and African cultural differences, focusing mostly on Tanzanian culture and customs - and he does this in less than 100 pages. Anyone interested in this topic will find mostly anecdotal comments and observations from someone who has spent time on both continents. In the end Mbele notes that people are different and that we should embrace and accommodate our differences as much as possible. This is a good book with good information to consider if you are traveling to Africa anytime soon or hosting an exchange student from Africa.


Kujua Mengi kuhusu Prof.Mbele ingia;Joseph Mbele na http://hapakwetu.blogspot.co.uk/


"Swahili NA Waswahili" Pamoja Sana

4 comments:

emuthree said...

Oh, sijui na mimi lini nitakuwa ni kitabu..lkn ipo siku. Tupo pamoja ndugu wa mm

Rachel Siwa said...

MUNGU ni mwema ndugu wa mimi Ipo siku tuu!!!!Pamoja Daima..

Joseph said...

Shukrani kwa kuniweka hapa kwenye blogu yako. Mimi ni mwalimu, na wajibu wangu ni kufanya utafiti sana, kusoma sana, kufundisha kwa kiwango cha juu kabisa, kuandika makala na vitabu.

Ninapokuwa nimeandika, ni wajibu kuwafahamisha walimwengu. Mwalimu huwezi ukaficha ujuzi wako uvunguni, bali unawajibika kuutangaza, kwani lengo ni kuelimisha wengine kwa yale unayoyajua.

Hebu niishie hapa, maana naona mhadhara unaendelea kuwa mrefu. Narudia tena, shukrani.

Rachel Siwa said...

Asante sana Prof.Mbele..nami niseme shukrani pia kwako..kwani kupitia wewe mimi na Jamii tunajifunza mengi.

MUNGU azidi kukubariki na Abariki Kazi za MIKONO YAKO.

KARIBU SANA.