Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Friday, 20 January 2012

Mswahili Wetu Leo;Mzee Yusuph na Wake zake!!!!

5 comments:

emuthree said...

Swali kubwa `wazazi wengi wanapenda kusema `mimi sitaki mwanangu afanye haya ninayoyafanya, mfano hata kama alikuwa mkurugenzi, lakini wengine wanafikia kusema `nisingependa mwanangu apitie huku , maana nimepata taabu sana, je tunataka watoto wetu waweje, na ilihali wanakulia katika mazinira hayo....nafikiri mkombozi ni shule, lakini shule sasa gharama, kama huna pesa mtoto hatasoma.
Na kile kidoo tunachopata, pesa kidogo unayopata wanatka kutunyang'anya mara unasikia bei za umeme juu, maji juu, vyakula juuu..sasa tutapata wapi pesa za kuwasomesha wenetu, na maofisini siku hizi mnawajaza `watu toka nje'na akibahatika mswahili kuwepo mshahara kiduchu, mgeni mara mia ya kwako...kweli tutafika..sijui.
`Somesheni watoto wenu hadi afike ng'ambo, sijui kwa pesa gani , tuibe, tufisidi kama nyie..?/

Ndugu wa mimi tupo pamoja

Simon Kitururu said...

Mmmmh!

Rachel Siwa said...

Ahsante sana Ndugu yangu em wa 3 kwa Maoni yako.
@kakake mbona Umeguna? jamaa anapeta au apepetwa tehteh!!!!!

Anonymous said...

mh mzeee yusuph ni noma waambie washika dau kunablog mpya ya ukweli imeanzishwa ya biashara na mambo mengine www.pandehizi.blogspot.com

Rachel Siwa said...

Mudhymudy Ashsante sana na karibu tena,ujumbe umefika.