Swahili na Waswahili

Swahili na Waswahili
Waswahili na Mswahili Rachel Siwa...Pamoja Daima!!

Wednesday 22 December 2010

Michezoni leo! Ni Farid mswahili wa Holland !!!!!!!!!!

Mswahili Farid  akiwachanganya wazungu!Nini kifanyike ili Tanzania tufikie malengo katika michezo?

5 comments:

biggytime said...

wainue vipaji mashule tanzania na waanzishe shule ya michezo,kutokana na kipaji cha mwanafunzi basi ndio ajiunge na shule hiyo ,ikiwa mpira (kabumbu),au mchezo wowote kiwe nikitengo maalum cha michezo na elim kwenda mbele.watafaulu sana kwa michezo tanzania..

Mija Shija Sayi said...

Kwa kuongezea hapo kwa biggytime, waache ufisadi na kujilimbikizia mali ili watu wapate mapato ya kusaidia gharama za kukuza vipaji.

Nje ya mada- Jamani mama wa Swahili si utuachie maoni yaingie huru bila kusubiri kuchuja?

emu-three said...

Lazima kulikuwa na wazo la vijii vya michezo, mashindano ya mashuleni nk...mimi nafikiri tunaweza, ni swala tu la kupewa kipaumbele na wizara husika ikajipanga vyema!

Ebou's said...

Ebana wewe unapenda uswahili kama mimi Dahh safi kweli, Itabidi na mimi ulii pandishi uligotini hii blog yangu iliofanana ya yako. ngoja nikupe back around yake.
Jina la blag ni http://swahilivilla.blogspot.com/ B imeanzishwa mjini Washington Dc na inaendeleza kazi zake katika mji wa Maryland. Inatumia lugha ya kiswahili na kingereza ili kuhabarisha kuhusu maswala mbalimbali ya kijamii hasa katika ukanda wa Marekani mashariki na Afrika mashariki. Itakuwa inakuletea habari mbalimbali za kijamii, siasa, burudani,michezo nk. Nakaribisha maoni yenu. Wasiliana nasi kwa. Email:kijiko12@hotmail.com
Naomba uniweke katika bloglist yako Shukran Jina naitwa Ebou Shatry.

Rachel Siwa said...

poa Swahilivilla,umeangalia maoni kwako yapo sawa?kazi yako inapendeza!