Wapendwa; Natumaini Jumapili inandelea/ilikuwa njema,MUNGU azidi kuwabariki,Kuwainua,Kuwalinda,Kuwaponya,Kuwatendea,Kuwafariji,Kuwapa amani,Kuwapa Furaha,kuwaunganisha na Kuwafunulia.......
Ndipo Samweli akatwaa jiwe,na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni, akaliita jina lake Eben-ezeri,akisema, Hata sasa BWANA ametusaidia.
Neno La Leo;1Swamweli:7:1-17
Hivyo wafilisti walishindwa,wasiingie tena ndani ya mipaka ya Israeli; na mkono wa BWANA ulikuwa juu ya Wafiristi siku zote za Samweli..........
"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe Wote.