Wapendwa Muendelee kuwa na J'Pili yenye Baraka,Amani,Huruma na "UTOAJI"Kwa MUNGU,Yatima, Wajane na kwa Wenyeshida na TABU.....
Na itakuwa,ukiisha kuingia katika nchi akupayo BWANA,MUNGU wako,iwe urithi, na kuimiliki, na kukaa ndani yake;
Neno la Leo:Kumbukumbu La Torati:26:1-15;
[12]Utakapokwisha kutoa zaka,katika zaka zote za maongeo yako mwaka wa tatu,ambao ndio mwaka wa kutolea zaka, umpe zile zaka Mlawi, na mgeni, na yatima, na mjane, wapate kula ndani ya malango yako na kushiba;.....................
"Swahili NA Waswahili"Amani na Upendo |
you made my day mamiii ub arikiwe dana
ReplyDeletetupo pamoja ndugu wa mimi
ReplyDeleteAmeen..da'Rose nawe pia..
ReplyDeletendungu wa mimi pamoja sana!!!!!
asante kwa kuziweka hapa, sikujua kama ameshatoa videpo...
ReplyDeletebarikiwaaa