Tuesday, 14 August 2012

Siku kama ya Leo da'Leyla Kiwinga Alizaliwa;Burudani-Lady Jaydee - Shamba!!!!!




 Siku kama ya Leo,Familia ya Bibi na Bwana M.S.Kiwinga Walipata Mtoto wa kike na Wakamwita LEYLA.
Naye ndiye Funga Dimba[Mtoto wa Mwisho] wa Familia hiyo.
Da'Leyla Tunakutakia kila lililo Jema Maishani.MUNGU Azidi kukubariki na kukulinda kila iitwapo Leo.Akupe sawaswa na Mapenzi Yake,Uwe baraka kwa Watu Woote.

Pamoja Sana. MUNGU NI PENDO



2 comments:

  1. HONGERA KWA SIKU YAKO NA MWENYEZI MUNGU AKUZIDISHIE MIAKA MINGI.

    ReplyDelete
  2. Mmmmh...Mbona mrembo hivyo?.. Itabidi nimtafute anipe siri ya urembo wake.

    Hongera kwa siku hii njema ya kuzaliwa.

    ReplyDelete