Sunday, 12 August 2012

Nawatakia J'Pili Njema,Burudani;Usinipite Mwokozi -Lydiah Joy Kaimuri;Sarah k-Niinue;Unibariki-Hellen Ken!!!!

Wapendwa Nawatakia J'Pili yenye Upendo,Amani na Furaha.

Nanyi mkiwa katika kusali,msipayuke-payuke,kama watu wa mataifa,maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa Mengi.

Neno la Leo;Mathayo Mtakatifu:6;7-13.

MUNGU Atubariki Sote.

3 comments:

  1. Jumapili iwe njema kwako pia na familia na Upendo pia Furaha itawale nyumbani mwenu. Pia baraka kwa wote watakaopita hapa.

    ReplyDelete
  2. Na we pia na leo nakutakia jumatatu njema

    ReplyDelete
  3. Asanteni sana sana wapendwa wangu@da'Yasinta[kadala] na ndugu wa mimi@emu wa 3!!!MUNGU atubariki soote waungwana.

    ReplyDelete