(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Wapendwa Nawatakia J'Pili yenye Upendo,Amani na Furaha. Nanyi mkiwa katika kusali,msipayuke-payuke,kama watu wa mataifa,maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa Mengi. Neno la Leo;Mathayo Mtakatifu:6;7-13. MUNGU Atubariki Sote.
Jumapili iwe njema kwako pia na familia na Upendo pia Furaha itawale nyumbani mwenu. Pia baraka kwa wote watakaopita hapa.
ReplyDeleteNa we pia na leo nakutakia jumatatu njema
ReplyDeleteAsanteni sana sana wapendwa wangu@da'Yasinta[kadala] na ndugu wa mimi@emu wa 3!!!MUNGU atubariki soote waungwana.
ReplyDelete