Saturday, 20 November 2010

umepitia michezo hii?

9 comments:

  1. yaani we acha tu mimi na nilivyo rafiki ndio kaka zangu kwa hiyo ilikuwa bambi kweliiiii.

    ReplyDelete
  2. hahahhaa dada Yasinta nao walikuwa wanaungana nawe kuchezea watoto?

    ReplyDelete
  3. Nimepitia sana tu!Hapo unaunguruma tu mwenyewe kama gari.:-)

    ReplyDelete
  4. Kitururu umesema kweli, hapo utakuta kila gari na muungurumo wake...

    ReplyDelete
  5. Ouch!!!
    Enzi hizo
    ENZI (japo si kwa maana ya zamani) ambazo watoto walicheza pamoja, watoto walionesha ubunifu, watoto walionesha kushirikiana, watoto waliheshimu uwezo mbalimbali wa mwenzao (kama kujua kuwa "fulani" ndio mtaalamu wa mipira ya kudunda, ama nanilii anatengeneza magari ya mneso, ama mtoto wa nanilii ni mtaalamu wa zana za uwindaji)
    Kuna mengi tunayapoteza katika kuondoa michezo hii
    Watoto hawajui "team work" tuliyokuwa tukijifunza. Na labda hata "uzoefu wa kumiliki familia kutokana na michezo ya kibabababa" nao unaonekana sasa ambapo zaidi ya 50% ya ndoa zifungwazo zinamomonyoka.
    Sasa hizi tunaheshimu na kuamini "kompyuta" hata katika kubuni "magari ya udongo"

    Anyway.....kujibu swali lako nasemaaaa
    NILIPITIA HILO, na nasikitika kuwa mwanangu hatapita kwani mazingira yanamfunga
    BLESSINGS

    ReplyDelete
  6. Aksanteni sana wapendwa kwa maoni yenu,@kaka Kitururu na da Mija vipi apite mbabe na akanyage hayo magari?

    @kaka wa changamoto nimekupata pia umeeleza kwa kina na uchungu wa uwezekano wa watoto wetu kukosa
    michezo hii.

    ReplyDelete
  7. Mbabe akikanyaga gari si kilio hicho!Na labda kuna mpaka ``NTAKUSEMELEA KWA MAMA!´´katika tukio hilo.:-)

    ReplyDelete
  8. Rede ya wote, kombolela,kalale nacho,kujipikilisha, baba na mama,kufinyanga udongo,one touch,gombania goli, mipira ya soksi na mipira ya makaratasi ya nairon. Jamani tulifaidi!

    ReplyDelete
  9. Mdau tulifaidi sana!unaonaje siku tukakumbushia?

    ReplyDelete