(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
ilikuwa ni furaha ya pekee na pia ilikuwa kama nipo ndotoni kwani nikagundua kuwa sasa nimekuwa mama. Uso kwa uso na kiumbe ambacho nimekitunza miezi tisa na sasa tunakutana....
Aksanteni wapendwa kwa mawazo yenu! kaka Kitururu si tofauti sana lakini wa kwanza anatia kama kuchanganyikiwa zaidi! Hata mimi nilivyopata nilikuwa siamini amini hivi!
Siku zote huwa najua kuwa mama yangu ananipenda, lakini siku hiyo nilijua mama yangu ananipenda kuliko nilivyokuwa nafikiria,yaani mtoto ni zawadi moja nzuri ambayo huwezi kuilinganisha hata na utajiri. I can't explain how i felt that day!Even now i still love my mtoto, ni my comforter. Glory be to GOD!
Nakumbuka nilikuwa kama nimechanganyikiwa kwa furaha!! Nilikuwa kazini siku hiyo na wafanyakazi wenzangu walikuwa wakinifurahia na kunipa pongezi...
ReplyDeleteI likua kama bado niko ndotoni...furaha na raha isiyo na mfano ilitawala, kwakweli Mungu na ashukuliwe sana
ReplyDeleteHivi kupata mtoto wa kwanza kuna tofauti sana na kupata mtoto wa tatu?
ReplyDeleteilikuwa ni furaha ya pekee na pia ilikuwa kama nipo ndotoni kwani nikagundua kuwa sasa nimekuwa mama. Uso kwa uso na kiumbe ambacho nimekitunza miezi tisa na sasa tunakutana....
ReplyDeleteAksanteni wapendwa kwa mawazo yenu!
ReplyDeletekaka Kitururu si tofauti sana lakini wa kwanza anatia kama kuchanganyikiwa zaidi!
Hata mimi nilivyopata nilikuwa siamini amini hivi!
Nilikuwa nampiga picha kila wakati yaani, wee acha tu, nilikuwa namnunulia makorokoro hadi leo hii najiuliza hivi nilikuwa natumia akili kweli au?
ReplyDeleteRachel asante kwa kutukumbusha.
Siku zote huwa najua kuwa mama yangu ananipenda, lakini siku hiyo nilijua mama yangu ananipenda kuliko nilivyokuwa nafikiria,yaani mtoto ni zawadi moja nzuri ambayo huwezi kuilinganisha hata na utajiri. I can't explain how i felt that day!Even now i still love my mtoto, ni my comforter. Glory be to GOD!
ReplyDeletehaha mapenzi tu da Mija! @Anonymous vipi ulitubu kwa mama ujeuri ulioufanya?hahaah kweli raha ya dunia ni watoto!
ReplyDelete