(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Hii kwa chai ya rangi si mchezo. asante sana.
Mija si utani yaani hapa udende unanitoka...Ahsante sana.
dada sasa inabidi uanze kutuwekea na jinsi ya kupika maana hivi hatujifunzi unatutia tamaa tu! au unaonaje?
Hii kwa chai ya rangi si mchezo. asante sana.
ReplyDeleteMija si utani yaani hapa udende unanitoka...Ahsante sana.
ReplyDeletedada sasa inabidi uanze kutuwekea na jinsi ya kupika maana hivi hatujifunzi unatutia tamaa tu! au unaonaje?
ReplyDelete