(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Sunday, 7 November 2010
Karibuni sana wapendwa!!
Wapendwa karibuni katika uwanja huu na tuungane pamoja katika kujadili,kufahamishana na kujenga pamoja!.
Asante sana, Tumekwisha karibia.
ReplyDeleteTumekaribia !
ReplyDeletekaribuni sana da mija na kaka Kitururu,mjisikie mpo nyumbani.
ReplyDeleteAsante Sana tumekaribia
ReplyDeleteNami naungana wa WAUNGWANA hapo juu kuitikia wito wa KUKARIBIA
ReplyDeleteASANTE KWA UKARIMU
Ahsante na wewe pia kaka Mubelwa!
ReplyDelete