Mzazi/Mlezi na Mwana familia.Unamawazogani kwa watoto wadogo na kujiremba?.
Hasa kwa mtoto wakike wa Leo/Sasa, Unafikiri ni umri gani kwake unafaa kwa kuanza kupaka,Shedo,Wanja,Rangi za mdomo,Kunyoa nyusi, kupaka Poda na mapambo mengine yanauotumiwa na Wanawake /kina Mama.Na si kila Mama/Mwanamke anayependa kujiremba pia.
Karibuni sana kwa Kuelimishana na Kusaidiana katika Malezi ya Watoto wetu.