Nanyi mkiwa katika kusali,msipayuke-payuke,kama watu wa mataifa,maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa Mengi.
Neno la Leo;Mathayo Mtakatifu:6;7-13.
MUNGU Atubariki Sote.
![]() |
| Baba, Mama na Mwana |
| Wapendwa walioungana na Familia kwenye ibada ya Ubatizo |
| Zawadi ya Rosary kutoka kwa ma'Mkubwa Stellah |
![]() |
| Da'Tecla[mama wa Ubatizo] da'Farajika[mama mazazi] na Binti yao.MUNGU Awabariki saaaana. |
| mama na baba wa Ubatizo na Familia ya Mungai |
| Familia |
| Kaka Richad na kaka Isaac, watoto kwa mbalii nao walikuwepo |
| da'Joyce,da'Farajika,da'Stellah ,da'Tecla na mtoto wao!! |
| Mamazzzz Pamoja sana. |
| mama totoo na baba totoo na shangazi walikuwepo!! |