Jikoni Leo;Mboga za Kula na Ugali
3;Bamia/Mlenda
;chukuchuku
;Bamia,Nyanyachungu...
;Chumvi
;Magadi/unga wa soda kama umekosa magadi..,
;Wakati mwingine huwa naweka majani ya maboga...
;Magadi Nimepewa na @eliadetor ๐๐ฝ kutoka ;Tanzania (Nyumbani)
Akileta ya kuuza nitawaambia
Kuunga;
Unaweza kuweka Nazi/Karanga (sijawahi kula hii nasikia)
Mimi nilichemsha tuu (chukuchuku)
:;Nimeziosha na maji
;Nimezikata ndogondogo
;Nikamchemsha kwa maji,
;chumvi,magadi, na Nyanyachungu
Karibu na kuiva maji yamebaki kiasi nikaweka pilipili
Hayaaaah kazi kwenu mnaweza kuongezea ujuzi nilipokosea
;siyo mpenzi wa viungooo vingii kama unapenda wewe Rukhsa ๐๐ฝ
Jikoni leo;Mboga 10 za kula na Ugali ๐
:
:Ugali una mboga zake jee wewe
Unapenda mboga zipi kula na Ugali?
:Mimi nitaweka hapa ninazo Zipenda na zinazo patikana hapa tulipo ๐
: ๐๐ฝ๐น๐ฟ Kitchen today
#mboga10
Jikoni Leo ๐ฉ๐พ๐ณ
:#chakula#kupika๐ฉ๐พ๐ณ๐ฅ
:
:
#kitchentoday
#inmykitchentoday
#jikonileo
#mboga
#Ugali
#mapishi
#mpishi
#veggies
#Bamia
#Mlenda
#hombo
#cooking#food#foodie#foodblogger#tanzanianfood#tanzania๐น๐ฟ #eastafrica#bbcfood#cnnfood๐
#Coventry#UK#lifestyleblogger#vlogger#mswahili๐น๐ฟ#Rachelsiwa


No comments:
Post a Comment