Jikoni Leo;Mboga za Kula na Ugali
2;Samaki Mkavu/wakavu
;chukuchuku/Nazi
;Nimeunga kutumia;
Nyanya,situmii za kopo,na huwa simpenzi sana wa kuzisaga labda niwe na haraka sana,Namenya (kizamani๐คฃ)
;kitunguu maji-cheupe,
;Kitunguu swaum sijui thoum ๐๐ฝ
Tangawizi,hivi nanunua nakusaga nyumbani ๐ค(siyo lazima)
;karoti
;hoho za rangi zote
;chumvi/maggi
Ndimu/Limau
;Roiko/Simba mbili-siyo lazimaa
;pilipili mbuzi natupia karibu na mwisho
;Unaweza kuongezea; bamia,Nyanyachungu...
;Samaki Nililetewa zawadi ๐๐ฝ kutoka ;Tanzania (Nyumbani)
Akileta wa kuuza nitawaambia
Kuunga;
Unaweza kuweka Nazi
Mimi nilichemsha tuu (chukuchuku)
:;Nimemuosha na maji ya moto
;Nikamchemsha kwa maji, chumvi/maggi,Ndimu/Limao..
Karibu na kuiva maji yamebaki kiasi nikaweka viungo vyote pamoja
Vikaiva pamoja na@mchuzi ukabaki kiasi....
Hayaaaah kazi kwenu mnaweza kuongezea ujuzi nilipokosea
;siyo mpenzi wa viungooo vingii kama unapenda wewe Rukhsa ๐๐ฝ
Jikoni leo;Mboga 10 za kula na Ugali ๐
:
:Ugali una mboga zake jee wewe
Unapenda mboga zipi kula na Ugali?
:Mimi nitaweka hapa ninazo Zipenda na zinazo patikana hapa tulipo ๐
: ๐๐ฝ๐น๐ฟ Kitchen today
#mboga10
Jikoni Leo ๐ฉ๐พ๐ณ
:#chakula#kupika๐ฉ๐พ๐ณ๐ฅ
:
:
#kitchentoday
#inmykitchentoday
#jikonileo
#mboga
#Ugali
#mapishi
#mpishi
#veggies
#fish
#samaki
#samakiwakavu
#dryfish
#cooking#food#foodie#foodblogger#tanzanianfood#tanzania๐น๐ฟ #eastafrica#bbcfood#cnnfood๐
#Coventry#UK#lifestyleblogger#vlogger#mswahili๐น๐ฟ#Rachelsiwa

No comments:
Post a Comment