(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Tuesday, 28 February 2017
Mwanamke Na Imani;Mjue Da'Nambua Jessica...!!
Wapendwa/Waungwana..[Mwanamke na Imani]Mwanamke wetu Leo ni "Dada Nambua Jessica..." Dada huyu anamengi mengi ya kumuelezea..katika Imani yake,Kama mama,Mke na Rafiki.. Nisikunyime kumjua zaidi kwa mimi kukuelezea..ni vyema ukamsikilize wewe mwenyewe na hisi lazima utaondoka na lolote.. Unaweza kumsikiliza /Kumsoma na kumjua zaidi kupitia;Youtube;
No comments:
Post a Comment