wapendwa nimatumaini yangu jumapili ni njema na inaendelea vyema Nawatakia Amani kutoka Moyoni,Imani,Baraka na Mkono wa Mungu ukawaguse wote wenye kukata tamaa,wagonjwa,misiba,woga,kuonewa,kukataliwa/kutengwa wagonjwa na wenye shida/tabu.. Amini Mungu yupo na ukimuita ataitika,Mungu wetu si kiziwi,kipofu...Anaweza na alitenda anatenda anaendelea kutenda.... |
Ahsante Kachiki...Ni kweli kumtumaini Mungu ni wajibu wetu maana yeye ni muweza.
ReplyDeleteKaribu sana Kadala wangu.
ReplyDelete