![]() |
| Wapendwa;Nawatakia kila lililo jema..Nawapenda wote |
58Basi, ndugu zangu wapenzi, simameni imara na thabiti. Endeleeni daima kuwa na bidii katika kazi ya Bwana, mkijua kwamba kazi mnayofanya katika utumishi wa Bwana haitapotea bure.
Neno La Leo;Wakorintho:15:1-58
Ufufuo wa Kristo
Ufufuo wetu
Mwili wa ufufuo
"Swahili Na Waswahili"Mbarikiwe Sana.


Naamini jumapili yako ilikuwa njema pia umetokezea Kachiki wa mimi. Ahsante kwa neno.
ReplyDeleteAsante sana Kadala wa mimi...ilikuwa njema kabisa Mungu yu mwema sana...
ReplyDelete