Tuesday, 12 August 2014

Pitapita ya Mswahili mitaani;Mtu Kwao.!!!!!!!



Tulikutana na hili bango mitaani hapa UK,kuona Bendera ya Kwetu,"Tanzania" Tukavutiwa..
Nyumbani Kwetu ni Kuzuri,Watu wa Kwetu ni Wakarimu..Karibuni Tanzania Karibuni Mtwara. Mambo Ipo Huko!!!!!!!
"Swahili Na Waswahili"Pamoja Daima

1 comment:

  1. Halo inafurahisha na kupendeza ni kweli unajisikia nyumbani...Tanzania yetu.

    ReplyDelete