Salaam Waungwana;
Tunamshukuru MUNGU mwenyeezi kwa yote.
Tunamshukuru MUNGU kwa maisha ya Mama/Bibi yetu mpendwa Khadija Mgaya Chuma[bibi Mwalimu].
Tunamshukuru MUNGU kwa kufanikisha vyema,Mazishi ya Mpendwa wetu.
Bi Khadija alifariki usiku wa Jumanne na Kuzikwa siku Alhamisi katika Makaburi ya Ilala Mchikichini.Dar.
Mama Kiwinga na Familia yake,Wanawashukuru sana Ndugu,Jamaa,Marafiki,Majirani na Wote walioshiriki kwa Michango,Muda,Upendo,Faraja, Sala/Dua na Mengineyo.
MUNGU azidi kuwabariki na kuwaongezea kila lililo jema kwenu.
Wenu Mama Kiwinga
Wa Ilala Sharifu/Shamba.
Asante Sana.
"Swahili Na Waswahili" Tunawashukuru wote katika yote.
Wa Ilala Sharifu/Shamba.
Asante Sana.
"Swahili Na Waswahili" Tunawashukuru wote katika yote.
Pole kwa msiba wa bibi yetu Khadija. Naamini Mwenyezi Mungu amewapa nguvu kwa kipindi hiki kigumu. Amina
ReplyDeletePoleni sana , yote ni mapenzi ya mwenyezimungu
ReplyDeleteAsante sana da'Yasinta,MUNGU yu.mwema na tunamshukuru katika yote.
ReplyDeleteAsante sana ndugu wa mimi@emu-three kwa yote.
ReplyDelete