![]() |
| Hatuja chelewa saana,Wapendwa Waungwana..WANAWAKE JUU!! |
Wapendwa; Nawatakia JumaPili Njema, Yenye Kusifu na Kuabudu,Imani,Furaha,Amani,Tumaini,Subira,Uvumilivu,Hekima,Busara na UPENDO!!!!
Wanafunzi waliposikia,walishangaa mno,wakisema,Ninani basi awezaye kuokoka?
Neno La Leo;Mathayo Mtakatifu:19:23-30
YESU akawakazia macho,akawaambia,kwa wanadamu hilo haliwezekani; bali kwa MUNGU yote yanawezekana.
Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.
"Swahili Na Waswahili" Mbarikiwe Sana.

Hakuna kuchelewa hapa Kachiki...Ahsante nakutakieni nanyi pia Jumapili njema na iwe yenye utulivu na upendo.
ReplyDeleteAmeeee!!Ameeen!!Ameeeeee!!!!! dada wa mimi kipenziii@KADALA.
ReplyDelete