Friday, 7 March 2014

International Women's Day 2014 - UDSM female staff.

Wanawake tunaweza.. Mamaaa GerryHans nawatakia wanawake woote kila la kheri ktk kusherehekea siku ya wanawake duniani. Kina Mama oyeeeee...

Picha na Mpiga picha Wetu;Phoibe Penza- Mshana[Mwanapenza]


Kama unapicha,Ujumbe wowote,Usisite kututumia kwa Email;rasca@hotmail.co.uk

"Swahili Na Waswahili"Pamoja Sana.




3 comments:

  1. Phoibe P. Mshana7 March 2014 at 17:01

    Thanx saana my mdogo...

    ReplyDelete
  2. Kachiki wa mimi! yaani nasikitika kuwa hatupo katika picha lakini naamini tupo pamoja na wanawake wenzetu...WANAWAKE TUNAWEZA!!

    ReplyDelete
  3. Asanteeee..dada yangu kipenzii..Phoibe..

    KADALA Wa mimi!!!!!!! Kweli kabisa usemayo tupo pamoja nao.

    WANAWAKE OYEEEEEE!!!!

    ReplyDelete