Waungwana;Wanawake na Urembo, jee wewe kwako UREMBO ni nini?
Kila Mwanamke anacho anachokipenda kukifanya,kuboresha UREMBO wake,Wapo wanaopenda kunyoa Nyusi,Kupaka Wanja,Rangi za mdomo,Kusuka,Kuweka Nywele Bandia,Kucha na Mengine meengi.Jee wewe Wapenda nini?
kwapicha zaidi ingia;http://www.mitindoafrica-abroad.blogspot.co.uk/
"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima.

Tutumie vipodozi au vitu vya asili zaidi ili kulinda mwonekano wetu wa asili. haya ni maoni yangu
ReplyDeleteDa'Amina asante sana kwa Maoni Yako.
ReplyDeleteDuh! hapa naona mimi hakuna ninachokipendelea zaidi ya kusuka rast:-) na huyu mdada wa pili ndo chaguo langu...wengine tumetokea hatupendi sana urembo...LOL
ReplyDeleteJamani KADALA..Mimi nimesha kununulia vipodozi viingi ili nikija likizo uanze kuapaka..tehtehetehh
ReplyDelete