Wednesday, 17 July 2013

Nipo wapendwa Muwe na Ramadhani njema!!!!!

Waungwana, Ndugu,Jamaa,Marafiki na wapenzi wote.. Nashukuru kwa kunitafuta.. Nipo salama na Mungu ni Mwema...
Emu-3 [Ndugu wa mimi], da'Yasinta [kadala] na wote mlionitumia Ujumbe, Mnaondelea kupitia kibarazani Mbarikiwe sana na Tupo Pamoja.

Mliofunga nawatakia Ramadhani Njema...

Summer njema mliokuwa Nga'mbo.....

"Swahili Na Waswahili" Pamoja Daima.

2 comments:

  1. Kachiki! Mwenyezi na awe nawe. Missing u.

    ReplyDelete
  2. Twashukuru kuwa upo pouwa ndugu wa mimi, ...karibu tena, na tupo pamoja,

    ReplyDelete