Waungwana; Natumaini wote wazima na Mnaendelea vyema na mambo yenu,vipi hali ya hewa huko mlipo?
Hapa tulipo leo jua linawaka vizuri...ni Raha na tuweza kunyoosha miguu/kutembea tembea na mambo mengine meengi ya nje yanawezekana.
Mnaofunga ndoa Leo tunawatakia Maisha mema yenye Furaha,Amani,Upendo,Uvumilivu na mshikamano.Mnaotafuta Wachumba/wenza na mliokuwa kwenye maandalizi Mungu awasimamie.
Chaguo La Mswahili Leo Tumsikilize/angalie Marlaw.. mimi napenda nyimbo zake hizi vipi wewe?
Maneno Mengi sina wewe pata Burudani na uwe na J'mosi njema.
"Swahili Na Waswahili" Pamoja sana.
Hata mimi napenda sana nyimbo zake. Nawe jumamosi njema.
ReplyDelete