Tumalizie J'Pili hii kwa Amani na Kusifu!!!!
Wapendwa;Tumalizie J'Pili hii kwa Amani na Utukufu tumrudishie MUNGU..Ee BWANA,Kutukuza usitutukuze sisi,Bali ulitukuze jina lako,kwa ajili ya fadhili zako,kwa ajili ya uaminifu wako.
Neno La Leo;Zaburi:115:1-18. [17]Siyo wafu wamsifio BWANA,Wala wowote washukao kwenye kimya[18]Bali sisi tutamhimidi BWANA,Tangu leo na hata milele.
"Swahili NA Waswahili"Mbarikiwe Sana.
Nawe pia kachiki na familia..Ahsante
ReplyDeleteUKWELI ULIPENDEZA JAPO UMEWABOA WANA YANGA MIMI SI MMOJA LA ILA MIMI NI MWANA MICHEZO HATA HIVYO ULIPENDEZA KUPITA ZAIDI
ReplyDeleteTUPO PAMOJA
MTU KWAO