(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Sunday, 14 April 2013
Nawatakia J'Pili Njema;Burudani-Mke mwema!!!!!
Wapendwa muwe na J'Pili Njema na Amani,Upendo,Fadhili,Shukrani,Baraka,Furaha... Naye alipowaona makutano,alipanda mlimani; na alipokwisha kuketi,Wanafunzi wake walimjia; Neno La Leo Mathayo Mtakatifu:5:1-12.Heri masikini wa roho;Maana ufalme wa Mbingunini wao.Endele..... "Swahili NA Waswahili" Amani na Upendo.
Nami pia nakutakia siku njema yenye furaha tele!...
ReplyDeleteAsante sana. .kaka kamotta.
ReplyDeleteKachiki nawe na familia muwa na Jumapili njema pia!
ReplyDeleteSaaande behh KADALA....
ReplyDeleteMadame umependezaje??
ReplyDeleteAsante dadake!!!!
ReplyDelete