Sunday, 28 April 2013

Muwe Na J'Pili yenye Neema na Imani;Burudani-Rebecca Malope!!!!!!!!









 Wapendwa;Natumaini J'Pili inaendelea vyema...
Muwe na Amani,Baraka,Furaha na Tumaini...

 Upendano wa ndugu na udumu.[2]Msisahau kuwafadhili wageni;maana kwa njia hii wengine wamekaribisha malaika pasipo kujua.
Neno La Leo:Waraka kwa Waebrania:13:1-6..Hata twathubutu kusema BWANA ndiye anisaidiaye,sitaogopa;Mwanadamu atanitenda nini?

           "Swahili NA Waswahili" Neema na iwe nanyi Wote.





3 comments:

  1. J2 NJEMA, Na j3 njema, mpendwa!

    ReplyDelete
  2. Jp njema kachiki halafu umetoka chicha hapo juu:-)

    ReplyDelete
  3. Asante sna Mpendwa ngugu wa mimi@emu-three..pamoja sana..

    @Kadala wa mimi Asante sana..pamoja sana..

    ReplyDelete