Sunday, 17 March 2013

Natumai Mmekuwa na J'Pili yenye Amani;Burudani- Alipo Roho,Nimemuona BWANA na Nyingine!!!

Nimatumaini yangu J'Pili inaendela vyema.
Tumalizie kwa  Wema,Busara,Hekima na Upole Kiasi...


[1]Mzee usimkemee,bali umwonye kama baba; na Vijana kama ndugu;
[2]Wanawake wazee kama mama;wanawake  vijana kama ndugu wa kike; katika usafi wote.

Neno la Leo:Timotheo:5:1-16


"Swahili NA Waswahili"
MUNGU Awabariki.

2 comments:

  1. Ilikuwa burdani, ni mitihani ya hapa na pale, lkn twashukuru, imepita na sasa ni j3 njema, Kila la heri na wewe twakutakia J3 njema, Tupo pamoja

    ReplyDelete
  2. Ahsante Kachiki..naamini nawe ulikuwa na jp njema na familia..amina

    ReplyDelete