Friday, 8 February 2013

Ya Kale ni Dhahabu;Burudani(Congo-Soukous)Yondo Sister!!!!!!

   Hahahaahahaha ni wake za watu na ni  mama  za watu sasa....Mke wa Mheshiwa Mbunge alianza zamani kupigilia Suti!!!!!!!
Hahahahaha....Siku Hazigandiiiii mwehhh


Waungwana;Mambo hayo...kama kuna uliyemtambua hapo baelezeee..Tuambieee..


YOndooooo sister ................Tusindikizie Salamu Leo!!!!


Unayo yako/zako za zamani unapenda  kuungana nasi katika kukumbushana? tutumie kupitia email;rasca@hotmail .co.uk

Karibuni Woooteee....hahaaha .

"Swahili Na Waswahili"
Kwaheriiiiii

7 comments:

  1. enzi hizi aisee nilikua sina kitu kabisa.basi mjini jamaa aliekua na kideo kiingilio lazima ununue chai na donath ndo uingie.bouncer yuko mlangoni.daah nilikua natafuta tundu napiga chabo mkanda mwanzo mwisho.tumetoka mbaali

    ReplyDelete
  2. Kweli ya kale ni mazuri..na hapo juu kwenye picha upo nawe kachiki si ndiyo:-)

    ReplyDelete
  3. hahaahahaha kaka Isaac tumetoka mbali si mchezo..vipi Baunsaaaa angekukamata?

    KADALA unafikiri KACHIKI ni yupi hapo?

    ReplyDelete
  4. Aliefanana na mwanangu Tracey eti sasa mamaya mubena dadake hiyo ya juu yagauni jeusi ilikuwa kibinda nkoi nini?

    ReplyDelete
  5. Kweli ya kale dhahabu,

    Waijua hata mababu

    kuipata ni thawabu.

    ReplyDelete
  6. Anonymous..aliyefanana na Tracey yupi?..

    Ndugu wa mimi naona mashariiiiiii hayooooo!

    KADALA Sina hakika kama ni KACHIKI hUYO!!!

    ReplyDelete