Wednesday, 20 February 2013

Jikoni Leo;Tupo Ghana- How to make Fu Fu!!!

w


Waungwana;"Jikoni Leo"..Tupo Ghana!!!!!!Unajua kupika FU FU wewee..kazi kwako..ukitaka Kujua Uhondo wa ngoma ......................

"Swahili Na Waswahili" Karibu Saaana.


1 comment:

  1. Ama kweli kupata mlo kuna kazi ..inaonekana ni tamu ila utengezaji wako umenifanya sitajaribu maana mkono wangu utapondeka na kuwa fufu ..Sijawahi kula ila ningependa kujaribu ikiwa imeshaandaliwa:-)

    ReplyDelete