Wednesday, 19 December 2012

Mswahili Wetu Leo;SUSU COLLECTION BY SUBIRA WAHURE FOR SWAHILI FASHION WEEK 2012

Dada Subira Mwenyewe ni huyu wa Mbele!!!!


Waungwana;Mswahili wetu leo si Mwingine ni da'SUBIRA WAHURE.
Ni dada Mdogo mwenye mambo Makubwa!!!!!

Hizi ni Baadhi ya Kazi zake.Kujua Mengi kuhusu dada huyu ingia;http://subirawahure.blogspot.co.uk/

"Swahili NA Waswahili" Pamoja Daima

4 comments:

  1. Da Subira songombele mbele mdogo wangu songa mbele.. usitazame nyuma..

    Na Mungu akutangulie katika kazi za mikono yako.

    Stay blessed..

    ReplyDelete
  2. Hongera Subira, hongera ndugu wa mimi, TUPO PAMOJA

    ReplyDelete