Sunday, 28 October 2012

Siku kama ya Leo da'Jestina George Alizaliwa!!!!!!


Siku kama ya Leo miaka kadhaa iliyopita Mpendwa wetu Da'Jestina[mamake na Imani] Alizaliwa.
Da'Jestina Tunakutakia kila lililo Jema,Baraka,Amani,Fadhili na Uishi Miaka Mingi na Utimize Malengo Yako.

MUNGU azidi kukutendea na kukulinda kila iitwapo Leo.

Ukitaka kujua mengi kuhusu dada huyu ingiahttp://www.jestina-george.com/

2 comments:

  1. HAPPY BIRTHDAY YAKE, TWAMTAKIA MAISHA MEMA, YENYE FURAHA TELE

    ReplyDelete
  2. Hongera Da'JG..

    Mtegemee Mungu katika kila jambo naye atakuongoza.

    Happy birthday..

    ReplyDelete