"Chaguo la Mswahili Leo"
Maneno si Meeengi ,jee wewe ulicheza nyimbo hizi, basi hata kuzisikia?Jee kuna lolote unakumbuka kupitia Mchanganyo wa Leo au Nyimbo moja kati ya hizo?
Tuelezeeee.
Karibu kwa Yoote..Twende Soote sasa....Aaaaaa aaaaaahhh aaahhhh... Mhhhh Sauti imegoma.......kaaaziii kwelikweli ngoja niendelee na Chumvi.
"Swahili NA Waswahili" Pamoja sana

bonge la chaguo kachiki..kwangu zote ni ngeni..ahsante..
ReplyDeleteAsante da'Kadala.hahahahhah hata Stendi kuu pale Songea hukuzisikia?
ReplyDeletehapana sikuzisikia bwana wewe!!
ReplyDeleteHaahaha da'Kadala natumaini leo umezisikiaaaaaaa!!!!!!
ReplyDeleteHizo nyimbo zimenikumbusha mbali sanaaaa,ila huyo DJ mie hoi, mwanakwetu una vituko wewe hahahaaaa.
ReplyDeleteWapi mwanankwetu!!!!hahahaaa DJ Rachel akikamua hapo.........
ReplyDelete