Wapendwa nawatakia J'Pili njema.
Neno la Leo;Kitabu cha Pili cha Musa,Kiitwacho,KUTOKA;20:12-17.
Waheshimu baba yako na mama yako;Siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA,MUNGU wako.Endeleaa....
"Swahili NA Waswahili" MUNGU Atubariki Sote!!!!!
Ahsante Kachiki nawe na famiulia muwe salama. Ahsante kwa neno.
ReplyDeleteAhsante kwa neno hope umekuwa na jumapili njema na familia yako mendwa
ReplyDeleteAsanteni sana Wapendwa!!
ReplyDelete