Sunday, 15 July 2012

Nawatakia J'Pili yenye Amani na Upendo;Burudani-Elisha Muliri!!!!!!!

Wapendwa nawatakia J'Pili njema.
Neno la Leo;Kitabu cha Pili cha Musa,Kiitwacho,KUTOKA;20:12-17.
Waheshimu baba yako na mama yako;Siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA,MUNGU wako.Endeleaa....

"Swahili NA Waswahili" MUNGU Atubariki Sote!!!!!

3 comments:

  1. Ahsante Kachiki nawe na famiulia muwe salama. Ahsante kwa neno.

    ReplyDelete
  2. Ahsante kwa neno hope umekuwa na jumapili njema na familia yako mendwa

    ReplyDelete