Monday, 16 July 2012

Da'Sandra-Neema Atimiza Miaka14!!!!!!!


                      Duuhh miaka 14 si mchezo!!!!!

                     da' Sandra na Rafiki yake da'Frida[Swahili ya Tz na Swahili ya Kenya] wakiwa Drayton Manor ndipo alipofanyia sherehe ndogo na Wanafunzi wenzie.
Shukrani sana kwa Wanafunzi ,Walimu wa Blue Coat

Familia ya Isaac Tunamshukuru sana MUNGU kwa Mema yoote anayotutendea.Asante sana MUNGU kwa kutujalia na kututunzia Sandra.Tunamuweka Mikononi mwako kwa kila Jambo.Wewe watosha BABA.
Asante sana kwa Woote wanaojumuika nasi kwa namna moja au nyingine katika malezi yetu.

MUNGU Azidi kukubariki sana Sandra-Neema,Uwe Baraka kwetu na kwa Watu Wote.

MUNGU Awajalie pia wanaotafuta Watoto.

MUNGU NI MWEMA!!!!!!!!

5 comments:

  1. Hongera dada Sandra kwa kutimiza miaka 14...

    ReplyDelete
  2. Happy B'day Uncle Sandra...miss you

    ReplyDelete
  3. Heee!! 14 mara??!!

    Hongera sana Da' Sandra a.k.a mutoto ya mubena..

    Mungu azidi kuwa nawe msomi wetu!

    ReplyDelete
  4. Happy birthday Sandra miaka 14 si mchezo na hongera wazazi kwa malezi mema hasa kwenye nchi hizi za watu. me love you Sandra xxx

    ReplyDelete
  5. Asanteni sana Wapendwa wooote kwa sala/Dua zenu, Ameeeeeeen

    Ma'Mkubwa Mija siku hazigandi ooohh

    @Uncle we miss u 2!

    @Anonymous Love u 2 mwahhhh

    ReplyDelete