(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Nawatakia J'Pili yenye Amani,Upendo na Baraka. Maana ninyi,ndugu,mliitwa mpate uhuru;Kakini uhuru wenu usiwe sababu ya kuufuata mwili,bali tumikianeni kwa Upendo.Neno la Leo;Wagalatia:5:13-26.
Ndugu wa mimi nakutajia j3 njema, maana hii nimeianyaka leo j3
ReplyDelete