Saturday, 23 June 2012

Chaguo la Mswahili Leo;DDC Mlimani Park na Tancut Almasi!!!!!!!!!

Waungwana "CHAGUO LA MSWAHILI LEO"
Turudi Nyuma kidogo Tuangalie/Tusikilize Nyimbo hizi kutoka kwenye Bendi zetu..
Jee unauonaje Mziki wa Bendi za sasa na Zamani?
Karibuni sana katika Yote!!!!!
"Swahili NA Waswahili" Twende Soteeeeeee.

4 comments:

  1. Ahsante na zilipendwa kama unavyojua ndio zetu hizo...wikiendi njema Kachika na familia pia.

    ReplyDelete
  2. Hata mimi dadako umenifurahisha leo. Hizi band za zamani sijawahi ona video zake. wangeweza kuzitengeneza waziuze jamani, ningependa niwe na home collection.

    ReplyDelete
  3. asante sana umenirudisha mbaaaaali sana ndugu yangu ungekua karibu ningekununulia heineken

    ReplyDelete
  4. Kweli vya kali dhahabu,ni kweli, kama ingeliwezekana kutengeneza video, ingsaidia sana, na wao wafaidi jasho lao.
    Nasiki ipo njia ya namna hiyo, wanachukuliwa waigizaji, wakuigiza ule wimbo huku unaimbwa, ...wao wanakatiwa chao, lakini ule wimbo unamilikishwa kwa hawo wanabendi

    ReplyDelete