Sunday, 20 May 2012

Nawatakia J'Pili Njema;Burudani;Sarah K - Liseme.The Christ Ambassadors-Moyoni Mwangu na Kazi Tufanye!!!!!!



Watoto wa KKkT Kijito Nyama
Nawatakia J'Pili yenye Baraka, Upendo,Amani, Umoja na Furaha.
1;Haleluya.Msifuni Mungu katika Patakatifu pake;
Msifuni katika anga la uweza wake.
Neno la Leo:Zaburi ya 150:1-6. 

6;Kila mwenye Pumzi na Amsifu BWANA.
Haleluya!!!!!!!!!.

3 comments:

  1. Na kwako pia jumapili iwe jema na yenye baraka na furaha tele..Nimependa nguo za hao watoto safi sana zinapendeza mtindo/mshono mzuri.

    ReplyDelete
  2. Jumapili njema kwako pia Dada wa MIMI!

    ReplyDelete