Saturday, 19 May 2012

Chaguo la Mswahili Leo;Celine&R.kelly- I'm Your Angel, The Step in the Name of Love. Na nyingineee!!!



 Waungwana Nawatakia j'Mosi yenye Amani na Furaha daima!!.
Leo ngoja Tuangalie/twende Pande hii.
 Sina Mengi Zaidi Nakusikiliza wewe tuu.Baada ya Burudani, Umekumbuka nini,Umeguswa,Umefurahi,Umenuna au? "Swahili na Waswahili" Pamoja sana

6 comments:

  1. Toto la Iringa uko juu dadake..

    Ubarikiwe wewe na familia yako..

    ReplyDelete
  2. J´mosi iwe njema na furaha kwako pia familia. Mimi leo furaha yangu iko bustanini ndo nimeanza kulima leo, nitapanda figili kutoka njomb pia mabogo (nyamuza)na mchicha:-)

    ReplyDelete
  3. Jumamosi njema kwako pia mwanakwetu,Hizo nyimbo zimenibamba leo.

    ReplyDelete
  4. Da Mija asante sana kwa kunisaidia kutegua kitendawili maana Kachiki alikuwa anakong'oli nyanji zoti ... Kachiki naomba wimbo maalum kutoka Ubena "Vakinoma".

    Weekend njema kwa wote!

    ReplyDelete
  5. Hiyo picha yako DADA wa MIMI yani ni Mwaaaaaah!

    ReplyDelete
  6. Ameen Mwana Sayi, Tubarikiwe sote dadake!!!!

    @Da Yasinta hongera kwa kupata mbegu za Figiri na usisahau kumpatia da'Mija apande mimi nitawasaidia kuchuma!!!

    @Mwanakwetu hahaah Zimekubamba eeh nimefurahi kama nimekugusa da'Edna.

    @Mtani;hahahahahha chambua chambua tuu humu nilishaiweka hiyooo,Duuhh hiyo ikose tena? ngoja nitakuweke zaidi.

    @KAKA wa MIMI SIMON wa KITURURU Asante sana!!!!!

    ReplyDelete