Tuesday, 3 April 2012

Shilingi ya ua tena Maua!!!!!!!


Waungwana sina la kuongezea hapo!!Jee Pesa ni kila kitu?Karibuni sana kwa Maoni na Kuelimishana kwa Upendo.

2 comments:

  1. Mmmmhh! kwa picha hii ya chini ya hiyo mtoto hapo imenigusa sana mtoto hana mavazi na inavyoonyesha hajala muda. Hii yote inatokana na kwamba kuna watoto wengi na mwisho wake ndo huo...tusizae kwa kutaka sifa tufikiri pia ni vipi kuwatunza hao viumbe...Ruksa kuwa kinyuma nami...

    ReplyDelete
  2. Upendo ni kila kitu. Ukiwa na pesa au maskini, mradi ukiwa na upendo, basi una kila kitu

    ReplyDelete