Sunday, 22 April 2012

J'Pili iwe njema kwa Wote!!Burudani-Jehovah You are the most high God na-Igwe Midnighi Crew!!!!

Muwe na J'pili njema yenye Amani na Baraka.
Akawagawanyia Lea, na Rahel, wale vijakazi wawili,wana wao.
Neno la leo;Mwanzo33:1-11.
Pamoja sana katika yote Wapendwa.

3 comments:

  1. Ahsante kwa neno la leo. Nawe uwe na jumapili njema sana pamoja na familia pia na wengine wote watakaopita hapa.

    ReplyDelete
  2. Kofi and Crown of Glory oyeee! "Who said drums cannot praise the Lord?"

    ReplyDelete
  3. Mimi nasema jumatano njema.
    Alafu mwanakwetu mimi penda sana wewe salamia chemeji na wanangu.

    ReplyDelete