(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Nawatakia J'Mosi Njema yenye Amani,Upendo,Uvumilivu na Umoja!!! Burudani na Maneno muruwaaa kutoka kwake Mswahili Professor Jay-Msikilize kwa makini.NDIYO MZEE!!. Pamoja Sana, Hapo Vipi?
Nawe pia uwe na jumamosi njema! hapo vipi hapo sawa..nimependa hii. Usengwili mlongo= Ahsante ndugu wangu!!
ReplyDeleteAhsante sana dada wa mimi!!hahahahah Hapo Sawaaaaaaaaaa!!!!Sande behh Kadala.
ReplyDelete