(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Mzee kwa mama mteule na watoto wake niwapendao katika kweli;Wala si mimi peke yangu,Bali na wote waijuao ile kweli.2Kwa ajili ya hiyo kweli ikaayo ndani yetu,Nayo itakuwa pamoja nasi hata milele.Neno la Leo:WARAKA WA PILI WA YOHANA..Nawatakia J'Pili yenye Upendo na Amani!!!!
NAWE PIA NA FAMILIA YOTE NA YEYOTE ATAKAYEPITA HAPA AWE NA BARAKA PIA AMANI.
ReplyDelete