(Lifestyle)Jamii,Tamaduni ,Matukio,Maisha ya Waswahili. Wapendao Kiswahili/Waswahili,Marafiki wa Swahili na Waswahili, Na Mengineyo ya Karibu, Yahitajikayo Kujuzwa Waswahili.Karibuni sana!!!!!!!
Nawatakiaeni J'pili njema yenye kheri,Baraka,Upendo na Utu wema. Neno la Leo;Zaburi ya 121:1-8.Nitayainua Macho yangu niitazame Milima,Msaada wangu Utatoka Wapi?Endelea. Nijambo Gani linalomshinda MUNGU BABA?.
Sijui kwanini video hii yanigomea.
ReplyDeleteHata hivyo, Asante sana "Mwana-kwitu"
Nawe, pia, J'pili NJEMA KABISA!!!
Jumapili njema pia jioni njema kwako pia na famailia..au tusema kwa yeyete atakayesoma hapa.
ReplyDeleteMimi nakutakia jumatatu njema mwanakwetu.
ReplyDelete